Labda nimalizie kwa kutoa maelezo ya mwisho baada ya hapa sitaongea bali nitakuwa natoa muendelezo wangu kuanzia kutafuta mchumb mpaka kuolewa.
Kwanza siwez kumuaminisha mtu asilimia mia moja kuwa mi ni msichana na sio mvulana. Hivyo nitaacha wanaopotosha kuwa mi mvulana waendelee na aliyeserious na kuoa najua kama anataka uhakika atakuja nyumban nikishamuelekeza
.
Ila pia siwez kuwalaumu wanaohic kuwa mimi sio msichana kwani sms zangu za awali zinawaigopesha. Ila nikwanini niliamua kujivika uhusika ule ?
Jibu ni kuwa jf hii inawatu tofauti wengine ni wema wengine wachafu na wako tayari kuharibu maisha ya sisi waschana kwa gharama yeyote ile. Mfano wapo wanawake washaharibiwa maisha yao humu. Sasa ni vigum kuwa safe ikiwa we unajulikana kama mwanamke na haujaolewa bora ukiwa umeolewa.
Sent using
Jamii Forums mobile app