Natafuta mchumba wa kunioa

Mimi nina sifa zote ila ni muoga sana wa intaviu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nao turudi kwenye siasa za mapenzi Sasa. Wazungu wanaita Love politics, wewe uko mrengo gani hasa kiitikadi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe na baba yako mnataka ukawe huru chuoni baada ya kuolewa?

Mtatuua wanaume nyie mabinti jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unahitaji ndoa au kuingia kwenye tanuli la moto yaani mwanaume usimchunguze tabia kama anafaa kuwa kiongozi bora wa familia yako wewe unachohitaji afike kwenu kukamilisha taratibu hauko serious.
Yuko serious Kuna ID inatafutwa humu..sijui wapi niliipinga serikali hii Mimi, ngoja nipitie comments zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo tupo pm siku ya tatu leo hujibu pm?,tutaacha kuamini kinachoongelewa ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto mdoooogo, mbichiiii kwa enzi izo asingeweza kuthubutu ata kuandika haya! Huyu wa sasa ameshagongwa gongwa kwa umri wake huo adi amekata tamaa ya kukutana na mume wake alopangiwa na Mungu kaja kutafuta mitandaoni

Kwambaaa, kagongwa gongwa hadi kajikatia tamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…