Natafuta mchumba wa kunioa

Yaani nikiona tu kabila ni Mrangi mie tayari hogo langu linadinda.! Wajameni hawa watu nanihii zao zipo hewani kama network ya Halotel.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Anakwambia alikuwa anajifanya mwanaume eti sababu amesikia wanaume wa humu ni wasumbufu
Na hapo je? si kasema kamaliza 4m4 ...... Mbona hiyo post ya mwaka jana kasema alipata mkopo wa chuo[emoji28]?

Au pia alijifanya mwanachuo kwasababu usipokuwa mwanachuo hapa jf utasumbuliwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka 20 unatafuta mume !!!!!!
Nina maswali mengi kwako ila ngoja nitulie tu nisije kuharibu dili la mtu
 
Tapeli......
Niamini mimi siku hizi mbinu mpya lazima atapata boya la kulichuna.

MashineNene[emoji533][emoji1646]
 
Kubwa jua kuwa hatutaongea kupitia sim wala kuchat mpaka tuoane

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha kweli haupo serious wewe dah 😁


Aaahahaha ngoja waje EXPERIENCED risk takers!
 
Taarifa kwa muhtasari,
wengi walio coment kwa kejeli ndo wanaongoza ku m pm mwali wetu, wanao fuatia kwa karbu n wanao pita kimyakimya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Asante mkuu kwa ufukunyuku.
 
Na hapo je? si kasema kamaliza 4m4 ...... Mbona hiyo post ya mwaka jana kasema alipata mkopo wa chuo[emoji28]?

Au pia alijifanya mwanachuo kwasababu usipokuwa mwanachuo hapa jf utasumbuliwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anajichanganya tu huyu sijui lengo ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…