Natafuta mchumba wa kunioa

Hlw
 
Reactions: htz
Hey ther im (......)28,,...natafuta rafiki wa kike
Age 24-32 life z 2uushort kufa pekeako..
 
Leejay49
 
Nilishawai kuona uchumba unavunjika kwasababu ya jamaa alikuwa ananuka miguu hatari.
Hii ya kunuka miguu ukiichunguza sana haina uhalisia, ni uchafu tu wa mtu na uzembe wake.

Saikolojia yako ikibweteka kuwa una tatizo la kunuka miguu, waweza ishi maisha yote ukisumbua watu kwa harufu ya 'panya kaoza' kizemzembe.

Ukitaka kuamini ninatakayosema, fanya yafuatayo: Nunua soxy pair za kutosha kuvaa wiki mbili ama zaidi ili uweze kuvaa siku moja moja bila kurudia, kuvaa soxy kwa kurudia ndiyo tatizo huanzia na kupelekea hata kunukisha viatu.

Safisha miguu kabla ya kuvaa soxy na viatu vyako.

Kama una tatizo la fungus linatibika kirahisi bila ya dawa complex ni rahisi sana kuliondoa ukizingatia usafi wa miguu yako.

Tatizo la wengi, mtu unakuta ana pair 2 kazidi 3 za soxy!
Chupi nazo anamiliki 3 kazidi 4!

Kwa usafi usiotia shaka, hakikisha nguo za ndani zikiwemo soxy na viatu, unakuwanavyo vingi vya kutosha ili kuepuka adha za kuwanukia watu harufu za ajabu ajabu.

Ingawa watu husema eti harufu yako mwenyewe hauwezi ihisi vibaya, mi huwa nakataa, siyo kweli.

Huyo mchumba naye hakuwa serious, angelimsimamia usafi kwa muda mfupi tu huyo mchumba wake hilo tatizo lingeliondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…