MIMI NI MWANAUME MWENYE MIAKA 27 NATAFUTA MCHUMBA MWANAMKE AMBAYE MUNGU AKIPENDA TUFUNGE PINGU ZA MAISHA lakini NIWE WAZI MIMI NI MASKINI WA PESA LEO NINACHO,KESHO SINA.NAAMINI NIKIPATA MWENZA MAISHANI TUTAINUKA.
KAMA NI MSICHANA WA MIAKA 23 HADI 26 NA UNAUHITAJI KAMA MIMI NI PM asanteni
Tehe teheee! Hapo kwenye RED, kama ni mvulana wa miaka 23 hadi 26 inakuwaje waje? Jifunzeni kuweka vizuri post zenu.
Hapo kwenye Blue. Unawezaje kumhakikishia huyo msichana kuwa mkioana mtainuka kimaisha? Una mikakati gani inayosubiri hadi upate mwenza ndo uanze kuitekeleza ili muweze inuka kimaisha?
Aa! Sura mbona ninayo tena hutajuta Njoo mama tugange maisha!