Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wowowo dea
Naisubiri ujue baby jJitahidi kula na kuridhika,ukinenepa na wowowo litakuja
Bado ntafuta angle nzuri hapa ya kupata picha nzuri baby ANaisubiri ujue baby j
Bado ntafuta angle nzuri hapa ya kupata picha nzuri baby A
Asante sanaJitahidi kula na kuridhika,ukinenepa na wowowo litakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata mke mwenye hizo sifa hapo juu,
nidai hela ya kodi ya miezi sita.
kuwa sirias miaka 39 childless? wewe ni spermless?Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina mtoto,mrefu,mnene kidogo giant,mweusi,sura kawaida sio handsome wala si ugly.
Sifa za ninae mtaka:
Awe mweupe au maji ya kunde
Mrefu na awe na kiwowo hata kidogo
Elimu kuanzia form four
Asiwe na mtoto
Awe tayari kuishi nchi nyingine tofauti na Tanzania.
Awe na tabia njema na awe muelewa(understanding)
Dini napreffer hasa mkristo
Nawasilisha.kama uko tayari tuwasiliane Pm na tutayajenga vizuri tu.Ndoa upangwa na MUNGU njoo tuzungumze.