NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA

NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA

mjizu123

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
349
Reaction score
369
Mimi ni kinaja wa miaka 29 naishi arusha tz najishuhulisha na kazi za kitalii sasa naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzi miaka 18 hadi 26 na nipo siriasi kwelikweli na alie tayari unaweza nifata PM tukapeana muongozo asanten
 
Mkuu nenda kachukue watoto wa kimbulu...nenda katesh utawapata watoto wamesimama balaa,nyuso kama wanaogea maziwa walivyo nyororo,

Nb. Hawana chura wengi wao ni english figure
 
Mkuu nenda kachukue watoto wa kimbulu...nenda katesh utawapata watoto wamesimama balaa,nyuso kama wanaogea maziwa walivyo nyororo,

Nb. Hawana chura wengi wao ni english figure
Mkuu umenikumbusha Katesh, nilishafika huko mwaka jana kikazi,watoto wa kimbulu balaa,weupee,halafu wana roho nzuri sana,siyo wachoyo kabisa
 
Mkuu umenikumbusha Katesh, nilishafika huko mwaka jana kikazi,watoto wa kimbulu balaa,weupee,halafu wana roho nzuri sana,siyo wachoyo kabisa
Unasema ukweli[emoji853]??
 
1545135252354.png
1545135288522.png
naan ka win?
 
Back
Top Bottom