Natafuta mchumba wa kuoa

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,725
Reaction score
3,271
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums leo nimeamua kwa dhati nije humu kutafuta mchumba.

Mimi ni muislamu ninamiaka 24 nakaribia kumaliza elimu yangu ya degree mwezi huu pia ninajishughulisha na biashara hivo sitegemei kupata ajira na wala sina mpango na ajira

Kiuchumi nipo njema ALHAMDULLILLAH japo changamoto za hapa na pale hazikosekani pia sijawahi kuoa wala kuwa na mahusiano kipindi chote cha maisha yangu.

Vigezo vya mchumba nimtakae nikama vifuatavyo;
1)awe na elimu angalau kidato cha nne au diploma , wenye degree hapana siwahitaji wanawake wenye degree

2) awe mwiislamu anajua kujistiri na pia awe amehifadhi angalau juzuu 5 pia awe anaswali swala tano

3) awe mweupe au maji ya kunde mrefu kiasi. Wanawake weusi hapa siwapendi

4) awe ametoka kwenye familia ya kitajili au wenye uchumi saizi ya Kati maana wanawake masikini siwataki kwasababu sipendi kusumbuliwa na wakwe kuwahudumia.

5) awe na kipato chake binafsi au kama ameajiriwa napo pia Sawa kikubwa awe anaweza kujihudumia matumizi madogo madogo sitaki wanawake wenye njaa njaa tu halafu hawana KAZI za msingi

6) awe na heshima na kujua kujishusha mbele ya mumewe, wale wanaotaka usawa wa 50 kwa 50 kwangu hawana nafasi

7)awe anajuwa usafi na kujitunza pamoja na kutunza vitu vya ndani

#Natanguliza_shukhuran_wakuu_karibuni
 
Miaka 24 bado sana
Waza kutafuta pesa
Anzisha miradi
Wekeza

Utakuja kunishukuru
Uko sahihi mkuu, lakini nafsi yangu inahitaji mwanamke nipate kitulizo cha nafsi
 
Kwani unaishi kijiji gani hicho kisichokuwa na wanawake mpaka kufikia kutafuta mwanamke mtandaoni, tena social media ambayo mtu anatumia fake id??

Kwanini usiende hata Fasibuku, angalau huko wanapost picha zao.
 
Miaka 24 bado sana
Waza kutafuta pesa
Anzisha miradi
Wekeza

Utakuja kunishukuru
Mbna amechelewa kwa muislamu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine 20 tyuuh ana mke tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…