Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

Kwani unaishi kijiji gani hicho kisichokuwa na wanawake mpaka kufikia kutafuta mwanamke mtandaoni, tena social media ambayo mtu anatumia fake id??

Kwanini usiende hata Fasibuku, angalau huko wanapost picha zao.
Mimi situmii facebook mkuu na wala mimi sikai kijijini nimekuja JF lengo kutafuta mke humu naimani JF ni mtandao watu wenye upeo kidogo na maisha

Kuhusu kutafuta mchumba mtaani kwangu aisee hili hapana kwasababu ya kulinda privacy yangu
 
Mna mbwembwe nyie mkiwwa chuo bado!!!
Kama huna mpango na ajira kwa nn unapoteza muda kukaa shule hiyo degree ni ya nini.
Ungeacha mapema ufanye hicho unachosema unafanya biashara haihitaji hiyo degree zaidi ya namba tuu.Ngoja umalize chuo
 
Kwani kusoma ni lazima uwajiriwe???? Hapana!! Mimi hobbies yangu ni business na nipo chuo kujiongezea maarifa na sijapoteza muda wangu kwasababu nimejifunza na nimeweza kusimamisha biashara yangu kupitia elimu niliyoipata chuoni.

Kuhusu kutafuta mchumba sio kwasababu ya sifa ni kupata utulivu wa nafsi
 
Mbona mimi sijasomea biashara na nimesoma vitabu vya biashara.Unatupiga fix hapa
 
Mbona mimi sijasomea biashara na nimesoma vitabu vya biashara.Unatupiga fix hapa
Maana hayo unayoita maarifa huko sidhani kama yatakusaidia hivyo unavyosema.Any way pambana tu kwa nn hayo maarifa yasikusaidie kupata mke mazingira uliyopo unakuja kutafuta huku mtandaoni
 
Mbona mimi sijasomea biashara na nimesoma vitabu vya biashara.Unatupiga fix hapa
Maana hayo unayoita maarifa huko sidhani kama yatakusaidia hivyo unavyosema.Any way pambana tu kwa nn hayo maarifa yasikusaidie kupata mke mazingira uliyopo unakuja kutafuta huku
 
Back
Top Bottom