Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

ABB

Member
Joined
May 6, 2012
Posts
56
Reaction score
41
Awe binti wa kuanzia miaka 18-24,awe tayari kuishi kama wana ndoa wanavyoishi (waleavyo familia). Awe mtu wa kufahamu maisha ni nini. Atakaye kuwa tayari anitafute kwa namba 0785454572. I'm seriously seeking for.
 
wewee wasichana wa hiyo age bado wako shule wanasoma...we tafuta manungayembe ndio saizi yako achana na vibinti vya shule
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
mh hata mie natafuta mchumba wa kunioa bt naona hapo kwenye age, eeeer nimefulia, gluc
 
Mm kwenye age npo ila ww hujasema age yako man
 
Back
Top Bottom