Natafuta mchumba wa kuowa

Natafuta mchumba wa kuowa

IDUKILO

Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
14
Reaction score
3
mimi idukilo natafuta mchumba wa kuowa ,awe na sifa zifuatazo
1) mmcha mungu
2) awe na elimu kuanzia kidato cha nne
3) awe na urefu usizidi 165cm
4) asiwe mnene sana au mwembamba sana,awe size ya kati
5)rangi ya asili maji ya kunde
6)miaka kati ya 20-24

mimi,
urefu wangu ni 165cm
kilo 60kg
maji ya kunde
miaka 30
elimu zaidi ya kidato cha nne
 
Back
Top Bottom