Natafuta mchumba wakike arusha mjini

Said nasrym

Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
37
Reaction score
14
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
 
A

Akillinjema we ni ke au me

[emoji851][emoji851][emoji41]

Mimi nimefanya kuuliza tu kwa niaba ya wadau wengine humu [emoji3][emoji3]

Mimi huko nimeshavuka tayari hatua hiyo niko kwa familia!

Nakutakia mafanikio mema @ Said!

Kama uko unamaanisha mshirikishe na Mwenyezi Mungu upate mwenye kheri nawe!
 
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
katoto kazuri hiyo fursa na kuanzia sasa uache kusumbua na uhanga wako wakati wa ovulation. Bado Demiss
 
Lakini Said kwanini uje kutafuta mke huku kwenye mitandao?

Mbona kama haioneshi kama uko siriasi aisee!
 
Kwan wakuu kutafuta mchumba kuna hasara gani mi Mgen na mitandao ati nisaidien km VP nisitishe au vp
 
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
Wee unamwaga mchele kwenye kuku? Akina "manka" si ndo wamejaa tena wananusa "shekeli" balaaa! Kama huko vizuri utawapata fasta bila hata kutangaza
 
Kama ni hapa nchini mikoani vuta subra utapataga tu atakae kufaa!

Au kule ulikotoka waambie wakutafutie ndugu zako kwenye jamii yenu ndo wanawajua wanawake walotulia!

Humu kwenye mitandao waweza ramba garasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…