Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

smati

Senior Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
149
Reaction score
5
sifa.

1. Awe DADA mlokole .

2. Awe mzima wa roho na mwili.

3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.

4. Awe na elimu yoyote.

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

Deadline 20 january 2012.

Uchumba miezi 6, harusi miezi 9 baada ya kuanza uchumba..

Karibuni .
 
Jinsia? manake avatar inaonyesha we mtoto na suala la kuonjesha hata wanaume wanaonjesha??sasa tuambie jinsia ya yule unayemtafuta.
 
jinsia? Manake avatar inaonyesha we mtoto na suala la kuonjesha hata wanaume wanaonjesha??sasa tuambie jinsia ya yule unayemtafuta.

soma nimekujibu hapo juu
 
kuchumbia siku hizi imekuwa sawa na job application!
 
sifa.

1. Awe DADA mlokole .

2. Awe mzima wa roho na mwili.

3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.

4. Awe na elimu yoyote.

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

Deadline 20 january 2012.

Uchumba miezi 6, harusi miezi 9 baada ya kuanza uchumba..

Karibuni .

Kwa makusudi ni aje?? Awe bila kudhamiria/ridhaa yake au??
Kama ni hivo awe alibakwa??
 
Kwa makusudi ni aje?? Awe bila kudhamiria/ridhaa yake au??
Kama ni hivo awe alibakwa??

hahaaa!! hii kazi, , Kama alibakwa nimemsamehe, tutapima na kama ana qualify sawa haina tatizo.,Lakini yule aliye fanya kwa kudhamilia nimemsamehe lakini hapa hajaqualify.
 
kila la heri mkuu, japo vigezo ulivyoweka ni vigumu sana hata kwa wapendwa walio wengi. Hivi mwanaume anapimwaje kama yupo sildi?
 
hahaaa!! hii kazi, , Kama alibakwa nimemsamehe, tutapima na kama ana qualify sawa haina tatizo.,Lakini yule aliye fanya kwa kudhamilia nimemsamehe lakini hapa hajaqualify.

Hayaaaaaaaaaaa mshamba!!!
Mi sitaki mshamba, kwa hiyo hujaqualify, manake mwanaume mshamba aisee.
Utanilitea mapresha tu.
 
usiwe na wasiwasi, mimi ni zaidi ya hivyoo nilivyo weka hapo, am smati!!!!!!

Na mashaka na u-smart wako!
Sifa ulizotaja huko kwenye #2 ya vigezo vyako...huko huko ungeshawapata aina hiyo...
 
Hayaaaaaaaaaaa mshamba!!!
Mi sitaki mshamba, kwa hiyo hujaqualify, manake mwanaume mshamba aisee.
Utanilitea mapresha tu.

Pole, naomba kubali tuu yaishe!!,lol
 
Na mashaka na u-smart wako!
Sifa ulizotaja huko kwenye #2 ya vigezo vyako...huko huko ungeshawapata aina hiyo...

hahahaha, Na hapa wapo rafiki. Je .inamaana hapa wapowagonjwa tuu???
 
sifa.

1. Awe DADA mlokole .

2. Awe mzima wa roho na mwili.

3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi.

4. Awe na elimu yoyote.

5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

Deadline 20 january 2012.

Uchumba miezi 6, harusi miezi 9 baada ya kuanza uchumba..

Karibuni .

Kweli wewe ni smati!!!!!
 
Back
Top Bottom