Haikamati baba!Mataifani Jf haikamati?
Rrondo atakuwa amemfananishaSi ndio nimeshangaa eti mvumilivu!!!
Haya mama..Mkipamiana mwambie nimemmissHaikamati baba!
Mtoe akajitegemee akili itamkaa sawa.RRONDO bro huyu Heaven Sent inaonekana unamuhusudu sana..Nambie nimfukuze home iwe rahisi kwako kumpata
Hahaa me ntaondoka home siku ya send off aisee. unajitegemea tu hata ukiwa homeMtoe akajitegemee akili itamkaa sawa.
Daddy si ulisema hakuna binti yako yeyote kwenda kupanga au sheria imebadilika?RRONDO bro huyu Heaven Sent inaonekana unamuhusudu sana..Nambie nimfukuze home iwe rahisi kwako kumpata
[emoji23] [emoji23] pacha umeanza lini huu ukorofi aiseeMwanzo aliweka kibao MBWA MLALI sasa hivi kaweka kibao TUNAUZA ASHKRIMU....
Sasa kama hupendi ndo ufanye mambo fasta fasta kumiliki, no more usumbufu.Duh sipendi kabisa weekend jioni unaanza kunisumbua 'nipeleke home'
Teh kibao bado kipo cha mbwa mkali, demand imeongezeka bana. Waoaji wa siku hizi hamkawii kugoma mambo ya send off "ooh mtu mwenyewe ulishaondoka home kitambo" mmhMwanzo aliweka kibao MBWA MLALI sasa hivi kaweka kibao TUNAUZA ASHKRIMU....
Zimefika baba.Haya mama..Mkipamiana mwambie nimemmiss
Aisee na unajua kunionea khaaHuyo HS nilisoma nae vidudu, siachi kumuonea.