Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hahahaha kutafuta mchumba ni shughuli kweli kweli,halafu ukishampata ni rahisi tena kuachana nae.[emoji38] ehh teh teh
 
Tunaomba mrejesho vipi umeishapata mchumba au application bado zinapokelewa?
 
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu.

Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee

Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.


Wewe ni Mwanaume wa Dar au wa Mkoani!?

Nnauliza hivyo nikiwa na Maana yangu: kwani heaven Sent ni Binam yangu.
 
Hahaha, sasa kaka si tulikubaliana she is taken? unataka mke wa mtu? manake mumewe ana gobore kubwa kushinda hii binduki yangu.

Ule uzi haukuleta mafanikio? nitakulipia tangazo kwa le mutuz kule insta basi
sister umenibania kwa dogo wako poa tu....
 
Wewe ni Mwanaume wa Dar au wa Mkoani!?

Nnauliza hivyo nikiwa na Maana yangu: kwani heaven Sent ni Binam yangu.
Hahahhaah kumbe nina binamu " wa dar". Binamu unataka mashemeji wa mkoani au? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom