Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Aaah Mungu awabariki. Kumbe mpo tu hapa kutafuta ushirikiano na mimi, nyie sio wa level zangu. Msiniquote tena[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Chezea kukatwa wewe! Hapa hata hatuelewi tunachokiandika, hebu tuulize tena kesho maybe mambo yatakuwa yamekaa sawa.
 
Eti unaongeza na X-pozha!, tehe!
Hahaha ndo maana tumeover qualify. X-pozha nyingine kesho, ulete na wewe za kwako za kula kwa umma na kisu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Chezea kukatwa wewe! Hapa hata hatuelewi tunachokiandika, hebu tuulize tena kesho maybe mambo yatakuwa yamekaa sawa.


Acha tu!, maradhi yote ugua lakini sio kukatwa.
Thank God it's Friday, tutapata nafasi ya kupumzika na kupunguza stress.
 
Heaven Sent na atoto

Msikute mchumba kamwambia RRondo tunatia kiwingu hapa. Hebu twendeni na sisi tukaweke tangazo. Halafu tuanze kushona sare za mnuso.
Hahaha sisi ndo mawifi, mchumba atuzoee tu. Tena aanze tu kutupigisha na story, tukitia mgomo sisi oooooooh[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom