Na kweli umemchoka, hii mara ya tatu naona unamfukuza nyumbani. Heaven Sent changamka nimechoka kukutetea.RRONDO bro huyu Heaven Sent inaonekana unamuhusudu sana..Nambie nimfukuze home iwe rahisi kwako kumpata
Mmh huyo baba kumbena, nikitaka kuondoka tena anagomaNa kweli umemchoka, hii mara ya tatu naona unamfukuza nyumbani. Heaven Sent changamka nimechoka kukutetea.
Suala sio kuondoka, tatizo ni unaondokaje?Mmh huyo baba kumbena, nikitaka kuondoka tena anagoma
Hahaa kumbe, dooh basi ngoja nichangamkeSuala sio kuondoka, tatizo ni unaondokaje?
Unanitenga sana siku hizi..Teh teh teeeeh!! Unanishingizhia!!!
Upepo umebadilika douta..Naona miaka inaota mbawa na mambo hayaeleweki..Ulipokuwa na dan cooper nikashukuru nikajua soon utatupunguzia budget Nyumbani..Sijui hata nini kilitokea nikashangaa kimya..Now sioni hata dalili za kuondoka leo wala kesho..Kweli unataka nianze kuuza ashkirimu??Daddy si ulisema hakuna binti yako yeyote kwenda kupanga au sheria imebadilika?
Kwako haupangishi vyumba??Mtoe akajitegemee akili itamkaa sawa.
We mama Yake unafurahia hiyo hali??Na kweli umemchoka, hii mara ya tatu naona unamfukuza nyumbani. Heaven Sent changamka nimechoka kukutetea.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwako haupangishi vyumba??
[emoji78] [emoji78] [emoji78]Napangisha mkuu mlete tu
Can't wait[emoji126] [emoji126] [emoji126]U gonna make a good housemate!
Umejitenga mwenyewe baba. We si uliniambia nisikutafute!! Hata child support nimtume mtoto?Unanitenga sana siku hizi..
Mie nafurahi kumuona maana ananipa kampan, uzee huu kuishi mwenyewe si nitaanza kuchizika!!We mama Yake unafurahia hiyo hali??
Kweli hata nawe naona yamekufika kooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Can't wait[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mmh sio kwa kuchokwa huko aisee. Uniombee tu niwe na moyo wa kupondeka dhidi ya mashushu[emoji40] [emoji40]Kweli hata nawe naona yamekufika kooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ukiondoka unipe taarifa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh sio kwa kuchokwa huko aisee. Uniombee tu niwe na moyo wa kupondeka dhidi ya mashushu[emoji40] [emoji40]
Hapana, mkweo ndo ananifanya niondoke, so naondoka officially, bila hivyo ningekaa tu hadi mzee anigawe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo nawe umeridhika kuondoka kwasababu ya pressure!!!
I thot yo better than that dota!!
Kwangu ni kwako, usikubali maneno ya baba yako yakudhoofishe nafsi darling. Stay as long as you want untill mr right comes. Kwanza nisivyopenda kukukosa ndani kwangu hata huyo mr right akija ajiandae kisaikolojia. Mama mkwe mie sitataka kumkosa binti yangu[emoji85] [emoji85]