Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Daddy si ulisema hakuna binti yako yeyote kwenda kupanga au sheria imebadilika?
Upepo umebadilika douta..Naona miaka inaota mbawa na mambo hayaeleweki..Ulipokuwa na dan cooper nikashukuru nikajua soon utatupunguzia budget Nyumbani..Sijui hata nini kilitokea nikashangaa kimya..Now sioni hata dalili za kuondoka leo wala kesho..Kweli unataka nianze kuuza ashkirimu??
 
Kweli hata nawe naona yamekufika kooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ukiondoka unipe taarifa.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mmh sio kwa kuchokwa huko aisee. Uniombee tu niwe na moyo wa kupondeka dhidi ya mashushu[emoji40] [emoji40]
 
Mmh sio kwa kuchokwa huko aisee. Uniombee tu niwe na moyo wa kupondeka dhidi ya mashushu[emoji40] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo nawe umeridhika kuondoka kwasababu ya pressure!!!
I thot yo better than that dota!!

Kwangu ni kwako, usikubali maneno ya baba yako yakudhoofishe nafsi darling. Stay as long as you want untill mr right comes. Kwanza nisivyopenda kukukosa ndani kwangu hata huyo mr right akija ajiandae kisaikolojia. Mama mkwe mie sitataka kumkosa binti yangu[emoji85] [emoji85]
 
Hapana, mkweo ndo ananifanya niondoke, so naondoka officially, bila hivyo ningekaa tu hadi mzee anigawe
 
Back
Top Bottom