Natafuta Mchumba

LastSeen

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
5
Reaction score
4
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf,
Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa maisha kupitia humu au sehemu yoyote ile.

Sifa na Vigezo
1. Binafsi
--Msomi wa chuo kikuu First Bachelor in Computer Science
--Dini yangu ni mkristo nasali Anglican
--Mweusi kwa rangi japo si sana
--Kabila langu ni Mzanaki
--Nakaa Dar es salaam kinondoni
--Umri wangu 26 years
-- Mwasiliano please aliye serious na uhitaji aje PM

2. Sifa za anayehitajika
--Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
--Dini sina ubaguzi kwenye hili
--Rangi nyeupe ni ugonjwa wangu
--Kabila lolote
--Mkazi wa Dar es salaam anapewa kipaumbele
--Umri chini ya 26 years
N.b napenda sana mwanamke msafi kwani binafsi napenda sana usafi. Naomba ombi langu lichukuliwe kwa uzito stahiki kwani nina nia sahihi na njema.
 
kuna wanaume wasafi hadi unaogopa
kuna x wangu mmoja yaani ukitandika kitanda anakuja kurudia *****
yaani nguo ananyoosha suruali anatumia unit hata tano inanyooka mpaka jamaa ni sharo mpaka kapitiliza
ila alikuwa ananipiga pamba kali ili tuendane mpaka raha yaani pamba zake mpaka leo ninazo toka 2010 na zinapita hata nilizonunua juzi
 
Mmmh mzanaki!
Si urudi kwenu busegwe,bumangi,butiama au chabhakari uchukue wife material huko!!
Hawa wa Instagram na JF kutwa nzima utawaweza?
Labda ungekuwa Ke unatafuta Me, ungefatwa fasta sana inbox ata Mimi ningekufata.
 
nenda kwenye magazeti pendwa ya Global publishers..kuna site pale wapo wanaotafuta wanaume wakuwaoa na kwa hvyo vigezo vyako bila shaka utapata mkuu
 
Mmmh mzanaki!
Si urudi kwenu busegwe,bumangi,butiama au chabhakari uchukue wife material huko!!
Hawa wa Instagram na JF kutwa nzima utawaweza?
Labda ungekuwa Ke unatafuta Me, ungefatwa fasta sana inbox ata Mimi ningekufata.
Kutokana na shughuli zangu siwezi kwenda huko. Jf naona itakuwa njia rahisi kwangu.
 
kaama hujapata nitafute in box
 
Sawa Mkuu kila la Heri ila kumbuka katika utafutaji wako ukipata useme usije kuanzisha tena uzi wa kutafuta ile hali uko kwenye ndoa
 
alikutem jili ya uchafu wako au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…