Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf,
Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa maisha kupitia humu au sehemu yoyote ile.
Sifa na Vigezo
1. Binafsi
--Msomi wa chuo kikuu First Bachelor in Computer Science
--Dini yangu ni mkristo nasali Anglican
--Mweusi kwa rangi japo si sana
--Kabila langu ni Mzanaki
--Nakaa Dar es salaam kinondoni
--Umri wangu 26 years
-- Mwasiliano please aliye serious na uhitaji aje PM
2. Sifa za anayehitajika
--Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
--Dini sina ubaguzi kwenye hili
--Rangi nyeupe ni ugonjwa wangu
--Kabila lolote
--Mkazi wa Dar es salaam anapewa kipaumbele
--Umri chini ya 26 years
N.b napenda sana mwanamke msafi kwani binafsi napenda sana usafi. Naomba ombi langu lichukuliwe kwa uzito stahiki kwani nina nia sahihi na njema.