kombora jipya
Member
- Feb 21, 2015
- 20
- 2
Ndugu zangu kijana nmefikisha umri wa kuoa hivyo natafuta binti aliyetayari kuolewa awe na umri wa kuanzia miaka 27 kushuka chini [HASHTAG]#asante[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]kazi ndo inakuoa au ni yeyeUnafanya kazi gani[emoji28]
Nitaolewaje na mtu nisiyejua kazi yake[emoji23][emoji23] Kama jambazii[emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ndo inakuoa au ni yeye
UNATAKA KUOLEWA NA KAZI AU MWANAUME?Unafanya kazi gani[emoji28]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] shoo uyo ni mweka azina Mi najua kazi yakee kazi kwako...Nitaolewaje na mtu nisiyejua kazi yake[emoji23][emoji23] Kama jambazii[emoji1][emoji1]
Wote nawataka... Mwanaume na kazi[emoji16][emoji16]UNATAKA KUOLEWA NA KAZI AU MWANAUME?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wote nawataka... Mwanaume na kazi[emoji16][emoji16]
Kwa Gwajima au[emoji6][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] shoo uyo ni mweka azina Mi najua kazi yakee kazi kwako...
Sitaki aiseee .... Akifisadi Gwajima hachelewi kutaja hadi historian yangu ya utoto[emoji2][emoji2][emoji2]Yaaa apo apo ulijuaje[emoji2][emoji2]
Odo unaujua ugonjwa wangu ni nini please rudisha bwana ile avatarAnii anafatilia ukoo mzima
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] usiwaze ngoja nkurudishie wee tenaOdo unaujua ugonjwa wangu ni nini please rudisha bwana ile avatar
Rudisha bibie zawad itakuhusu ukiieeka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] usiwaze ngoja nkurudishie wee tena
Tayarii andaa zawadi chapuuRudisha bibie zawad itakuhusu ukiieeka
Subir dk moja zawad unapataTayarii andaa zawadi chapuu
Dah... Akiwa muuza ngada?[emoji3][emoji3][emoji3]kazi ndo inakuoa au ni yeye