Natafuta mchumba

Onambali

Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
67
Reaction score
10
Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25.

Maisha ni majaliwa na mapenzi ya kweli,

Onambali
 
Haya sasa, wabantu soko lenu kwishney.
Sahv tunakimbilia kwa wahindi na waarabu.
Kuna wahindi fulani nimewaacha jukwaa la wakubwa, wasubirie kidogo.
 
chinekeeee oooh....a a.....what now?
 
wewe hupati mchumba hehehehe utanambia:tape:
 
Firstlady, tafadhali usinikatishe tamaa
 
Firstlady na preta hamna kaasili kauhindi?
Mimi zamani nilikuwa muhindi kabisa ila jua kali limenibadilisha
 
Nasubiri majaliwa, sitokata tamaa, mwenzenu nahangaika kweli namtafuta mwenza, nimechoshwa na ukapera
 
Onambali,
ONGEZA JUUDI KATIKAMAOMBI NA SARA ZAKO KWA MUNGU.....HAPO UTAMPATA TU.
 
Mmmh!! Haya bwana Onambali kila la heri, ukimpata huyo mchumba usisite kuja kutueleza!
 
KWI KWI, nashukuru faraja, hilo litawezekana tu nami naamini
 
'mwarabu au muhindi awe mkristu'..Duuh!
All the best. Ukipata utujulishe ee
 
onambali,
ongeza juudi katikamaombi na sara zako kwa mungu.....hapo utampata tu.

mke mwema natoka kwa mungu. Sasa bwana onambali huyo mungu akilkuletea mbantu utakubali....????
All ze besti
 
mja,

du! hapo pagumu panataka ufunuo zaidi. Kwa sasa naomba anipatie mhindi au mwarabu, moyo wangu unanielekeza huko
 
All the best, angalia kuna warabu na wahindi wa Tunduma! sijui nao wananafasi?
 
mmmhhh Onambali unataka mwarabu/mhindi na awe mkristu?
 
nenda mtaa wa uhindini posta wamejaa tele!! humu tumejazana wabantu tupu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…