Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25.
Maisha ni majaliwa na mapenzi ya kweli,
Onambali
wenye sifa wanakaribishwa
Firstlady na preta hamna kaasili kauhindi?
Mimi zamani nilikuwa muhindi kabisa ila jua kali limenibadilisha
Aha aha aha mkuu naona mnanipa nafasi ya hicho kiti ili nikose yale maslahi niliyokuwa nafatilia jana lolHa ha haa mkuu Finest umenifurahisha,na nikudokezee tu kile kikao chetu nilichokaa na wenzangu jana cha kuamua nani awe nani kimekupendekeza wewe uchukue kiti baada ya mkuu wa chama kustep kwenye uongozi kipindi chake kitakapomalizika!
mim ni mkristo na umri unaruhusu lkn sio muhindi.sijui hicho kigezo kimoja tu kitanikosesha mwenza?
tafadhali nifikirie
Veve iko taka hindi nenda bangalore mimi taongea na Kapoor Sunil tapatia veve two indian gelos barabara che nati che