Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

nenda mtaa wa uhindini posta wamejaa tele!! humu tumejazana wabantu tupu!!!

da suzy,

kama wana sifa ninazotaka wanakaribishwa. Nisaidie tafadhali kumpata mmoja
 
inaonekana unaangalia sana muvi za kihindi lolz
 
Mhhhh! unataka wa KUKUOA au wa KUMUOA?? maake hujaweka wazi!:love:

Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25.

Maisha ni majaliwa na mapenzi ya kweli,

Onambali
 
Firstlady na preta hamna kaasili kauhindi?
Mimi zamani nilikuwa muhindi kabisa ila jua kali limenibadilisha

mwee....mimi ni mweusi tii....ki ufupi nina asili ya Sudan ya kusini......
 
Hii ndo Tanzania bwana!

Mfumuko wa watafuta wachumba JF,..
Mfumuko wa waoteshwaji wa vikombe vya madawa,...
Mfumuko wa ........................
 
Fanya hima uje Shinyanga kuna waarabu kibao wananunua Almasi hapa wana wasichana bomba ile mbaya watakufaa ila wakristu ni ishu njoo ujaribu bahati yako
 
Veve iko taka hindi nenda bangalore mimi taongea na Kapoor Sunil tapatia veve two indian gelos barabara che nati che
 
Ha ha haa mkuu Finest umenifurahisha,na nikudokezee tu kile kikao chetu nilichokaa na wenzangu jana cha kuamua nani awe nani kimekupendekeza wewe uchukue kiti baada ya mkuu wa chama kustep kwenye uongozi kipindi chake kitakapomalizika!
 
mim ni mkristo na umri unaruhusu lkn sio muhindi.sijui hicho kigezo kimoja tu kitanikosesha mwenza?
tafadhali nifikirie
 
Ha ha haa mkuu Finest umenifurahisha,na nikudokezee tu kile kikao chetu nilichokaa na wenzangu jana cha kuamua nani awe nani kimekupendekeza wewe uchukue kiti baada ya mkuu wa chama kustep kwenye uongozi kipindi chake kitakapomalizika!
Aha aha aha mkuu naona mnanipa nafasi ya hicho kiti ili nikose yale maslahi niliyokuwa nafatilia jana lol
 
mim ni mkristo na umri unaruhusu lkn sio muhindi.sijui hicho kigezo kimoja tu kitanikosesha mwenza?
tafadhali nifikirie

du, nashukuru kwa nia yako njema, hapana huwezi kukosa mwenza maana wewe sio mhindi, ubarikiwe, ila bado vile vigezo vya uhindi na uarabu ni muhimu kwangu. Ni kimpimo cha utu wetu tunaofikiri tunadumisha kati yetu na wahindi/waarabu. Kwa bahati nzuri Tz sio wabaguzi wa rangi, sura, kabila au jamii atokayo mtu. Si unaona hata nafasi nyeti za uwakilishi wa wa-tz sirikali-ni tunawapa hata wahindi/waarabu? Mimi nataka niunganishe undugu wa kweli na wa kudumu, naamini moyo wangu umewaangukia wahindi/waarabu.

Asante
 
Back
Top Bottom