Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Vvip

Senior Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
190
Reaction score
87
Halloo wanajukwaa, hope mko poa,

Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 29 na nina maisha ya kawaida nipo Arusha, natafuta mchumba atakaye kuwa mke, vigezo: awe anaishi Arusha, awe na umri kuanzia miaka 25, awe na elimu kuanzia 4 na kuendelea, awe na kazi halali yoyote, asiwe na mtoto, awe mcha Mungu, awe anajitegemea.

Ni hayo kama uko serious ni pm tuyajenge.

Asanteni.
 
Ngoja nihamie Arusha,kisha niku PM tuyajenge.
 
Back
Top Bottom