Natafuta mchumba

sasha18

New Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3
Reaction score
6
Natafuta mchumba nina umri wa miaka 28. Nafanya kazi nina mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Nahitaji mume ambae alie seriously na maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri kuanzia miaka 38/45.

Niko seriously na alie sirously anifate pm Pls no jokes I'm serious.
 
Ongeza na masharti mengine halafu nitafute PM
 
M nko na 25 years....dahh nshakosa nafasi
 
Tupo majunior tunasimamia kucha tu, tuamini basi
 
@sasha18,tuonee huruma vijana wenzie,punguza huo umri hakika hutajutia kuipata damu changa.Hao wa miaka thelarhini tayari viuno vimekongoroka hautafurahia raha ya uumbaji
 

Unasema Dini yoyote he wewe ni Dini gani ,unafanya kazi gani na upon wapi?

Unataka Mume mcha Mungu he wewe mwenyewe ni mcha Mungu kwenye hiyo Dini yako?

Unasema una mtoto mmoja,huyo baba wa mtoto yupo wapi?He alikuoa ndoa ya halali kwa mujibu wa Dini yako au kiserikali?

Kiwango chako cha Elimu na taalumu uliyosomea?

Ni mzaliwa wa wapi na kabila gani?

Sababu za kuhitaji mume mwenye umri wa 35+ ni zipi?
 
Nicheki bac,mie mwenyewe nimechoka kukaa single
 
Hauko serious INA maana mtaani kwako hawapo njoo huku Mara tarime nikupe train nzima
 
Nimetimiza vgezo * call 0765 456685,, or call for sms ,, kwa Hili sina mzaha kabisa "karibu my
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…