Natafuta mchumba

Wangoje watakuja
 
ni PM
 
Umri kwangu ni janga la taifa
 
unazingua
Sizingui wala nini miaka 38 kama hujaoa ni tatizo kubwa chukulia mpk uoe na kuzaa utakuwa na miaka 40 ukizaa mtoto ukiwa 40 akifika miaka 10 wewe una 50 na akifika 20 ambako ndio anaanza chou wewe huko 60 (kibabu kabisa)
 
Duuh

Uko sahihi mkuu.

Ni vyema mtu ukiwa kwenye position nzuri uoe ukiwa na 27-30 ndio inapendeza zaidi, utainjoi pia na familia yako ingali bado una nguvu.

Lakini tunakosea, mtu akipata pesa za kuweza kuhudumia familia anakimbilia kula bata kwanza na kusahau kuoa na kuja kuoa akiwa na umri mkubwa sana.
 
Binafsi nimepata mtoto nikiwa 26 na nimekuja kumuoa mama mtoto nikiwa 28
 
Nilikuwa nina nia ila kigezo cha umri ni kikwazo. Nikifikisha 38 nitakuwa nimeoa na nina watoto 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…