Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Nimetimiza vgezo * call 0765 456685,, or call for sms ,, kwa Hili sina mzaha kabisa "karibu my
Hapo kwenye umaliziaji tu, nimegundua wewe ni mvulana na upo chini ya 25.
Mwanaume hatumii neno "my", na hata akitumia basi ujue huyo ni legevu ama niwa Dar
 
We vp, fiti
Khaaaa Mme JF??? Jmn mbn unatafta tatzo dadangu?? Iv umu kuna waume kweli??? Hahahaaaaa any way kila rakheli
we vp fitina hizo, kila alioko hum usizani wote matapeli, kwanza uliwahi kuona wapi mtu katapeli mke?
 
Khaaaa Mme JF??? Jmn mbn unatafta tatzo dadangu?? Iv umu kuna waume kweli??? Hahahaaaaa any way kila rakheli
Wapo walio pata na kufanikiwa kufikia ndoa kwa kupitia humu jf.
Haijawahi kuandikwa kwamba wapi mtu atampata mwenza wake.
 
mwanaume wa age hiyo alikuwa anakungoja tu used wewe ?
 
Natafuta mchumba .nna umri WA Miaka 28.nafanya kazi Nna mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Naitaji mume Ambae alie seriously Na Maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri Kuanzia Miaka 38/45 Niko seriously na alie sirously anifate pm Pls no jokes I'm serious
Mimi Niko tayari!wewe huko wapi?nipe namba yako tuwasiliane
 
Natafuta mchumba .nna umri WA Miaka 28.nafanya kazi Nna mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Naitaji mume Ambae alie seriously Na Maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri Kuanzia Miaka 38/45 Niko seriously na alie sirously anifate pm Pls no jokes I'm serious
All the best
 
Unasema Dini yoyote he wewe ni Dini gani ,unafanya kazi gani na upon wapi?

Unataka Mume mcha Mungu he wewe mwenyewe ni mcha Mungu kwenye hiyo Dini yako?

Unasema una mtoto mmoja,huyo baba wa mtoto yupo wapi?He alikuoa ndoa ya halali kwa mujibu wa Dini yako au kiserikali?

Kiwango chako cha Elimu na taalumu uliyosomea?

Ni mzaliwa wa wapi na kabila gani?

Sababu za kuhitaji mume mwenye umri wa 35+ ni zipi?
Mmmh sio kwa maswali haya ila kama ungekuwa umeguswa mkuu ungemfata inbox hopeful angekujibu
 
@sasha18,tuonee huruma vijana wenzie,punguza huo umri hakika hutajutia kuipata damu changa.Hao wa miaka thelarhini tayari viuno vimekongoroka hautafurahia raha ya uumbaji
Vijana mnasumbua sana single mothers mwache ajitafutie single father waendane
 
Unasema Dini yoyote he wewe ni Dini gani ,unafanya kazi gani na upon wapi?

Unataka Mume mcha Mungu he wewe mwenyewe ni mcha Mungu kwenye hiyo Dini yako?

Unasema una mtoto mmoja,huyo baba wa mtoto yupo wapi?He alikuoa ndoa ya halali kwa mujibu wa Dini yako au kiserikali?

Kiwango chako cha Elimu na taalumu uliyosomea?

Ni mzaliwa wa wapi na kabila gani?

Sababu za kuhitaji mume mwenye umri wa 35+ ni zipi?
Safi sana
 
Hapo kwenye umaliziaji tu, nimegundua wewe ni mvulana na upo chini ya 25.
Mwanaume hatumii neno "my", na hata akitumia basi ujue huyo ni legevu ama niwa Dar
Kweli kabisa, sipendi kuitana My hata kwa wanawake. ....
 
Back
Top Bottom