Nina miaka 30 nakaa Dar, elimu yangu diploma ya business administration, mm ni mweupe wastani, mrefu wastani na mwembamba wastani, sina motto na wala sijawahi kuoa. Nafanya kazi japo sio nzuri sana. Nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo; asiwe mweusi, asiwe mnene wala mwembamba sana, asiwe mfupi wala mrefu sana, awe na elimu kama yangu au amenizidi au hata certificate ila asiwe nurse, awe anajishughulisha na shughuli inayomwingizia kipato, awe na miaka 22-25, awe anakaa Dar, awe hajawahi kuzaa wala kuolewa, awe mkristo lkn asiwe mlokole. Aliye tayari anifuate PM