Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

fredj2

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
235
Reaction score
93
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, mtanzania,Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu, ambaye urafiki utaishia kwenye uchumba na mwisho ndoa kama tukiridhiana. Cha msingi awe ni msichana aliye serious na anayehitaji kwa dhati kabisa kuingia kwenye ndoa kuanzisha familia.

SIFA ZA MSICHANA NINAYEMUHITAJI;
1. Awe mweupe au maji ya kunde, mnene asiwe mwembamba
2. Asizidi miaka 18-27
3. dini yoyote
4. Awe na kazi au asiye na kazi
5. Elimu yoyoyte
6. Asiwe na mototo
7. Asiwe amewahi kuolewa
8akiwa dar itakua poa


KUHUSU MIMI:
Maelezo yote kuhusu mimi nitamueleza muhusika tu baada ya kuwasiliana.

TAFADHALI NAHITAJI MSICHANA ALIYESERIOUS KATIKA SWALA HILI TU, VINGINEVYO SITAKI KUPOTEZEANA MUDA.
 
Umasikini mbaya sana


Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Hizi sifa dada yangu miss natafuta anazo zote,
Miss natafuta njoo unaitwa huku

_ where ever you are remember me_
 
Vijana wa kiume mnaotafuta wachumba ni vizuri pamoja na kuweka sifa za mwanamke nayemtaka, muwe mnaweka sifa zenu(what is so special about you) ili kumvutia mwanamke, kumbuka kwa mila zetu mwanaumbe mara nyingi ndiye hutongoza kwahyo vizuri ueleze vitu vitakavyomvutia msichana kukufuata inbox. Ni tofauti kabisa na mwanamke akiweka bandiko la kutafuta mchumba inbox itajaa hadi atashindwa aangukie wapi
 
Hahaahaa yaani wewe sifa zako hueki ila za unaemtaka unaweka unafikiri tutakuja pm ilimrad tu, weka sifa zako mkuu hata nikija pm niwe nishapat mwanga kidogo .. Kuuziwa mbuz kwenye gunia no

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndugu angu naona panamfaa
Cc😀oris Gabrael
 
Kila la kheri

To accomplish much you must first lose everything..
 
Back
Top Bottom