fredj2
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 235
- 93
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, mtanzania,Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu, ambaye urafiki utaishia kwenye uchumba na mwisho ndoa kama tukiridhiana. Cha msingi awe ni msichana aliye serious na anayehitaji kwa dhati kabisa kuingia kwenye ndoa kuanzisha familia.
SIFA ZA MSICHANA NINAYEMUHITAJI;
1. Awe mweupe au maji ya kunde, mnene asiwe mwembamba
2. Asizidi miaka 18-27
3. dini yoyote
4. Awe na kazi au asiye na kazi
5. Elimu yoyoyte
6. Asiwe na mototo
7. Asiwe amewahi kuolewa
8akiwa dar itakua poa
KUHUSU MIMI:
Maelezo yote kuhusu mimi nitamueleza muhusika tu baada ya kuwasiliana.
TAFADHALI NAHITAJI MSICHANA ALIYESERIOUS KATIKA SWALA HILI TU, VINGINEVYO SITAKI KUPOTEZEANA MUDA.