simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 928
- 1,012
habari wanajamii natafuta mchumba wa kike ili baadae tuoane. vigezo na mashart
1_ awe uvccm
2_ awe na msambwanda wa kushiba nyuma yaani hata ukiweka kiredio nyuma kinakaa fresh bila kuanguka
3_ rangi ya kawaida wanasema maji ya kunde
4_ asiwe mnene awe mwembamba
5_ awe anafanya kazi serikalini hata ualimu poa tu
6_awe mkazi wa dsm
8_mkristu awe na hofu na mungu
9_msafi wa mwili hadi mavazi
Nb umri sijali akinizidi hata miaka 20 poa tutafundishana au nikimzidi nitamfundisha ndio maana sijaweka umri wangu njoo inbox tutajiane umri