Natafuta mchumba

Kennedysr

New Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
3
Reaction score
1
Mimi ni kijana wa miaka 30, nina diploma ya B.A, sina mtoto na wala sijawahi kuoa. Mimi ni mkristo RC na nakaa Dar, nimeajiriwa kwenye kampuni binafsi, nahitaji mwanamke mwenye diploma au zaidi na awe na umri kati ya 22-25, asiwe mweusi na awe ameajiriwa au awe anafanya shughuli halali ya kumuingizia kipato, asiwe na mtoto na asiwe amewahi kuolewa, awe anakaa Dar na awe mkristo. Kwa aliye tayari anifuate PM
 
Kanisani kwenu hamna wanawake wasioolewa? Unaleta udini hapa?
 
umetailiwa? maana isije ukaweka vigezo vingi wakati wewe huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…