Mimi ni kijana wa miaka 30, nina diploma ya B.A, sina mtoto na wala sijawahi kuoa. Mimi ni mkristo RC na nakaa Dar, nimeajiriwa kwenye kampuni binafsi, nahitaji mwanamke mwenye diploma au zaidi na awe na umri kati ya 22-25, asiwe mweusi na awe ameajiriwa au awe anafanya shughuli halali ya kumuingizia kipato, asiwe na mtoto na asiwe amewahi kuolewa, awe anakaa Dar na awe mkristo. Kwa aliye tayari anifuate PM