Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Kwa mawazo yako hayo ...utasugua sana ...hapo 27...utafika had 45...shubamiiiit..
 
Mimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea.
Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza.
Awe mcheshi ila sio kuzidi.
Awe na kazi nzuri.
Awe muelewa mstaarabu akubali kubadilika.
Asiwe anapiga .
Mimi ni mkristo umri 27
Kama upo serious ni pm
Wenye hasira msinipm
Umri hauongopi...! Ulio kula nao ujana umewaacha wapi??
 
Back
Top Bottom