natafuta mchumba kabila lilite,dini yoyote,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne,awe namapenzi ya kweli.asiyewahi kuolewa umri kati ya miaka 20-22.
Hvi utajuaje mtu mwenye mapenzi ya kweli kabla hujakuwa naye?natafuta mchumba kabila lilite,dini yoyote,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne,awe namapenzi ya kweli.asiyewahi kuolewa umri kati ya miaka 20-22.
Hvi utajuaje mtu mwenye mapenzi ya kweli kabla hujakuwa naye?
Haijakaa vizuri hiyo mkuu.Yani we unabahati kweli ya mtende!!! Ninao hapa mbwa wangu wawili mmoja keshavunja ungo na mwingine kesha balehe!!
Kama upo tayari ni pm mimi sihitaji mahali na nitawagharimia harusi yenu na kuwapatia nyumba ya kuishi popote mpendapo ndani ya ardhi ya tz!!
Haijakaa vizuri hiyo mkuu.
Si umeona amesema awe na mapenzi ya kweli? haya mapenzi ya kweli si atayajua akiwa nae?Kila kitu lazma kuna mwanzo.
Kwa kunzia hamna formula ya mapenzi. What works for you might not work for others. There are a million ways to begin a relation.