natafuta mchumba!

natafuta mchumba!

liomaps

Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
61
Reaction score
10
natafuta mchumba kabila lilite,dini yoyote,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne,awe namapenzi ya kweli.asiyewahi kuolewa umri kati ya miaka 20-22.
 
wewe ni mwanamke au mwanaume!
  1. Kama mwamke/mme
  2. wewe mwenyewe una elimu gani?
  3. Kabila gani?
  4. Unafanyakazi gani?
  5. Una dini gani?
  6. Unataka mke/mme wangapi? yaani umewai kuachika?
  7. Unampango wa kuwa na ndoa ya wake/mme wangapi?
  8. Nani kwenu aliolewa/kuowa kwa mtindo huu?
  9. Kama upo tayari kutafuta husio wajuwa kwa sura wala makuzi je unawajua huko mitaani hawakutaki kwasababu gani?
Na maanisha fafanua huu mtego wako biashara matangazo utawanasa tu wapo wengi humu humu JF ni bahari.
 
Mmetengenezewa jukwaa lenu mnaotafuta wachumba!!! Upeleke thread zako huko na wakati mwingine ujitambulishe kuwa wewe ni me au ke!
 
natafuta mchumba kabila lilite,dini yoyote,awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne,awe namapenzi ya kweli.asiyewahi kuolewa umri kati ya miaka 20-22.
Hvi utajuaje mtu mwenye mapenzi ya kweli kabla hujakuwa naye?
 
Hvi utajuaje mtu mwenye mapenzi ya kweli kabla hujakuwa naye?

Kila kitu lazma kuna mwanzo.
Kwa kunzia hamna formula ya mapenzi. What works for you might not work for others. There are a million ways to begin a relation.
 
Yani we unabahati kweli ya mtende!!! Ninao hapa mbwa wangu wawili mmoja keshavunja ungo na mwingine kesha balehe!!
Kama upo tayari ni pm mimi sihitaji mahali na nitawagharimia harusi yenu na kuwapatia nyumba ya kuishi popote mpendapo ndani ya ardhi ya tz!!
 
Haijakaa vizuri hiyo mkuu.
 
Kila kitu lazma kuna mwanzo.
Kwa kunzia hamna formula ya mapenzi. What works for you might not work for others. There are a million ways to begin a relation.
Si umeona amesema awe na mapenzi ya kweli? haya mapenzi ya kweli si atayajua akiwa nae?
 
Back
Top Bottom