Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hahaha boss sikujua una roho mbaya hivi ndio nini kutuharibia sasaHuku utapata wachumba,wapenzi,marafiki wa kuchat n.k; lakini utopata mke mwenye sifa za kuitwa mke,labda ulazimishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha boss sikujua una roho mbaya hivi ndio nini kutuharibia sasaHuku utapata wachumba,wapenzi,marafiki wa kuchat n.k; lakini utopata mke mwenye sifa za kuitwa mke,labda ulazimishe
njooo, mind you usiwe na vigezo vingi kama mleta uzi,ntakukimbizaaaana mimi nakuja pm🙈😂
hahaa, nataka nihakikishe kaka sijui anapata wifiiNaona umeuvalia njuga huu uzi mpaka kieleweke
Sawa kazi ya uhakiki njemahahaa, nataka nihakikishe kaka sijui anapata wifii
😂😂mimi nataka tu awe na papuchi basi!njooo, mind you usiwe na vigezo vingi kama mleta uzi,ntakukimbizaaaa
duuh, ya aina gani maana pia wanasema zinatofautiana😀😂😂mimi nataka tu awe na papuchi basi!
😂ebu zitaje nichague sasa!duuh, ya aina gani maana pia wanasema zinatofautiana😀
wewe ndye inabidi useme unataka muundo upi ili nijifahamu kabsa kama muundo huo sina ama la 😀😀😂ebu zitaje nichague sasa!
si useme tu ili kama naridhika nije pm😂wewe ndye inabidi useme unataka muundo upi ili nijifahamu kabsa kama muundo huo sina ama la 😀😀
😀😀😀😀😀, si mimi ila niliskia wanasema banaasi useme tu ili kama naridhika nije pm😂
halafu wewe sio mzima! papuchi zina makundi😂😂😂
😀😀😀😀😀, si mimi ila niliskia wanasema banaa
wewe ndyo chizi piaa,ilibidi useme yoyote iliyopo sawa tuu[/QUOTE
Mkuu usinichonganishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
financial service to sex service? hii transformation noma!
😂😂si ndo ulivyoandika mkuu?Mkuu usinichonganishe [emoji23][emoji23][emoji23]
kabisaa, huu ni uchonganishii😀😀😀😀, tumpuuze tuuMkuu usinichonganishe [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀😀😀😂😂😂aisee
financial service to sex service? hii transformation noma!
😂😂😂😀😀😀😀😀😀
😀😀 sawa mkuuhahaa, siyo rahisi mkuu, si unajua hulka yetu wadada ni ngumu kumfungukia mtu, ila sikua serious kihivyo banaa
ha ha ha ha ha sio hivyo mkuu inabidi kumpa ukweli, asitegemee kupata mtu sahihi kwa njia hii atakayemvumilia hasa pale atakapofilisika na kuishi kwenye nyumba ya makuti,kupata ulemavu,au kuugua na kushindwa kujihudumia n.kHahaha boss sikujua una roho mbaya hivi ndio nini kutuharibia sasa
ndo hivyo Mkuu, yy akisubiria dodo lidondoke chini wenzake wanalishusha kwa mawe au wanalifuata huko huko juu (lazma utumie nguvu kupata vizuri).Hahahaaa siku hiz alie juu mfuate huko huko hakuna kumsubiria chini. Ngoja nimalizie supu yangu ya ndimu na ugoro kwa maisha haya ya Ngosha kisha nitarudi