Natafuta Mchumba

wewe ndye inabidi useme unataka muundo upi ili nijifahamu kabsa kama muundo huo sina ama la πŸ˜€πŸ˜€
si useme tu ili kama naridhika nije pmπŸ˜‚

halafu wewe sio mzima! papuchi zina makundiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
si useme tu ili kama naridhika nije pmπŸ˜‚

halafu wewe sio mzima! papuchi zina makundiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, si mimi ila niliskia wanasema banaa

wewe ndyo chizi piaa,ilibidi useme yoyote iliyopo sawa tuu
 
Hahaha boss sikujua una roho mbaya hivi ndio nini kutuharibia sasa
ha ha ha ha ha sio hivyo mkuu inabidi kumpa ukweli, asitegemee kupata mtu sahihi kwa njia hii atakayemvumilia hasa pale atakapofilisika na kuishi kwenye nyumba ya makuti,kupata ulemavu,au kuugua na kushindwa kujihudumia n.k
 
Hahahaaa siku hiz alie juu mfuate huko huko hakuna kumsubiria chini. Ngoja nimalizie supu yangu ya ndimu na ugoro kwa maisha haya ya Ngosha kisha nitarudi
ndo hivyo Mkuu, yy akisubiria dodo lidondoke chini wenzake wanalishusha kwa mawe au wanalifuata huko huko juu (lazma utumie nguvu kupata vizuri).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…