Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

NCHABIRONDA

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
298
Reaction score
107
Natafuta mchumba lakini awe na vigezo vifuatavyo;
1. Awe na umri kuanzia miaka 20- 25 tu.
2. Awe anajua kusoma vizuri na kuandika.
3. Awe anajua kupika vizuri na kufua vizuri.
4. Awe msafi kuanzia yeye mwenyewe na mazingira yote ya nyumbani.
5. Awe mkarimu, mwaminifu na asiwe na tabia za uchoyo maana kwangu mimi wageni hawakatiki hasa siku za mwisho wa wiki.
6. Asiwe na mtoto.
Mengine yote nitamvumilia ila 1- 6 hivi vigezo vizingatiwe.
Kwa mawasiliano zaidi naomba tuwasiliane kwenye e-mail yangu ya
mjukuuwakaswaga@gmail.com
 
Jinsia yako please,
Mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wa kike na sina ubaguzi wowote ule so kama wew ni jinsia kinzani please njoo tuyajenge.
 
Humu hupati kamwe mkuuu, wamejaa maslay queen tu wasanii watu wa maigizo.wahi vijijini wamejaa huko unapata wenye sifa plus bikra juu
 
Katika 100 utabahatisha wawili tu wenye hivyo vigezo kamanda wangu
 
Weeee hebu nitoe kwenye hilo kundi unajua mm ni nan? Nitakuchapaa ujue
Humu hupati kamwe mkuuu, wamejaa maslay queen tu wasanii watu wa maigizo.wahi vijijini wamejaa huko unapata wenye sifa plus bikra juu
 
Mkuu umekosa kotee mpaka uje jf kwenye ID fake....
 
Back
Top Bottom