Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
1,195
Reaction score
1,933
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo afrika ya kati nafanya biashara natafuta mchumba nyumbani tz

Sifa zake
1.awe anajielewa
2. Awe mkristo
3.ata km Ana mtoto 1 sio mbya maana ata mimi ninae.
 
Back
Top Bottom