Natafuta mchumba

blessed Fanikio

Senior Member
Joined
Dec 20, 2017
Posts
127
Reaction score
118
Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 24_28.Natafuta mchumba ambaye yuko tayari aje tuyajenge tuanze maisha.
Kwa kuwakumbusha tu, sina nyumba wala gari, aje tuanze kuyajenga kwa pamoja
Natafuta mwanamke wa kutoka mkoa wowote ule, dini yoyote ile kwa sababu sioi dini naoa mtu,
Mimi kwa sasa nipo dar.
 
Hata hujui umuri wako hamna umri wanamna hiyo 24-28 maisha yamesha kunyoosha tulia kijana huna chochote lakini unatafuta mke usipo uangalia wewe ndo utatafutwa badala yake
 
Hahahahaaaaaa, nimezaliwa miaka ya 1990's
Hata hujui umuri wako hamna umri wanamna hiyo 24-28 maisha yamesha kunyoosha tulia kijana huna chochote lakini unatafuta mke usipo uangalia wewe ndo utatafutwa badala yake
 
Majibu ya wadau yanavutia sana kusoma! 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…