Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Msanumbi

Member
Joined
Sep 15, 2018
Posts
43
Reaction score
36
Habari za jion Wana JF ....

Mm ni kijana umri 30+
-Urefu 5.4 nch
-Colour -mweupe kiasi
-islamic
-Nna watoto wa3 kila mmoja na mama yake,
-Ila nnaishi watoto wangu.
-Kaz yangu ni Mishen town tu Ila maisha yanaenda

Sifa za Mchumba[emoji116]

-Awe maji ya kunde au shombe wa kabila lolote kati ya somali au Arabian
-Umr 25+
-Awe na mwili kiasi
-Asiwe mfupi Sana
-Elimu ya dini Islamic ndo kipaumbele

Km uko tayar Pm plz.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom