Hivi hujampata tu hadi leo?Zama pm kwangu fasta. Kwani ule Uzi wang wa kutafuta MCHEPUKO hujauona? Basi njoo ue Mchepuko wangu rasmi na wa kudum na ntakuhudumja kwa kila kitu. It is like utakua MKE WA PILI. Nategemea utakuja pm
Bado sijampata hadi leo, njoo pm basi tuyajenge. Nmemuahidi atakua mchepuko rasmi yaani is like atakua Mke wa piliHivi hujampata tu hadi leo?
Ila huyu anatafuta mchumba rasmi sio mchepuko bana.
Huyo mtoto wa kike atafute pesa za nini, wakati atakuwa anazidisha maadui tu. Hiyo awekwe ndani asubirie kuletewa.Mdogo wangu kwa umri wa miaka 23 jikite kwanza katika kusaka pesa.Hela ni mungu mdogo ambae hutatua kila aina ya tatizo la binadamu.Una chaguo moja kati ya haya mawili:
1.Fuata ushauri wangu na utakuja kunishukuru baadae
2.Endelea kutafuta mchumba na utakuja kuukumbuka ushauri wangu huu
Unaweza kufahamianaHabari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.