Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

KWASAUTI KUBWA

WAKUU PM NI WAP? JAMANIII HUYU DADA CTAKI ANIPITE
 
Huyu mzinguaji pm zake hata hajibu, anajaribu watu humu akati wengine tupo more than serious
 
Habari zenu.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Apo unatafuta wanaume wawili tofauti yan mwaminifu na mwenye upendo juu yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Hv nyiny wanawake mpoje mume umtake ww pm tukufuate sie ww ndio uje pm km ukiona shida ingia mtaan ukikutana na msela muite kisha mtongoze
 
Habari zenu.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Ulishapa?? kama bado njoo pm.
 
Tulia wewe mzee usifukuze ndege[emoji23][emoji23][emoji23]

Madomo zege acha nasi tupate nafasi.
Mdogo wangu kwa umri wa miaka 23 jikite kwanza katika kusaka pesa.Hela ni mungu mdogo ambae hutatua kila aina ya tatizo la binadamu.Una chaguo moja kati ya haya mawili:

1.Fuata ushauri wangu na utakuja kunishukuru baadae

2.Endelea kutafuta mchumba na utakuja kuukumbuka ushauri wangu baadae
 
Habari zenu.

Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.

Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.

Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Em nitafute ....pengine tunaweza kufanya kitu
 
Mdogo wangu kwa umri wa miaka 23 jikite kwanza katika kusaka pesa.Hela ni mungu mdogo ambae hutatua kila aina ya tatizo la binadamu.Una chaguo moja kati ya haya mawili:

1.Fuata ushauri wangu na utakuja kunishukuru baadae

2.Endelea kutafuta mchumba na utakuja kuukumbuka ushauri wangu baadae
Huu ushauri nilimpaga mdogo wangu akaupuuza akaolewa kabla hajapata kazi hivi ninavyoandika hapa ndoa ina mwaka ila dogo kashachoka vipigo na manyanyaso yupo hom.
 
Back
Top Bottom