Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hatafuti ajiraUmehitimu kozi gani?
Ni vizuri ukabainisha kwa manufaa ya vijana jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatafuti ajiraUmehitimu kozi gani?
Ni vizuri ukabainisha kwa manufaa ya vijana jf
Wengine wanapenda wachumba waliohitimu fani fulani ambako wanapenda kuwekezaHatafuti ajira
Apo unatafuta wanaume wawili tofauti yan mwaminifu na mwenye upendo juu yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Hv nyiny wanawake mpoje mume umtake ww pm tukufuate sie ww ndio uje pm km ukiona shida ingia mtaan ukikutana na msela muite kisha mtongozeHabari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Ulienda pM pole baba kashakuzid akili uyo ilibid yy ndie akufuate akutongozeHuyu mzinguaji pm zake hata hajibu, anajaribu watu humu akati wengine tupo more than serious
Ulishapa?? kama bado njoo pm.Habari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Mdogo wangu kwa umri wa miaka 23 jikite kwanza katika kusaka pesa.Hela ni mungu mdogo ambae hutatua kila aina ya tatizo la binadamu.Una chaguo moja kati ya haya mawili:
1.Fuata ushauri wangu na utakuja kunishukuru baadae
2.Endelea kutafuta mchumba na utakuja kuukumbuka ushauri wangu baadae
Tatizo sipo mikoa ulotajaaa mweeeZama pm kwangu fasta. Kwani ule Uzi wang wa kutafuta MCHEPUKO hujauona? Basi njoo ue Mchepuko wangu rasmi na wa kudum na ntakuhudumja kwa kila kitu. It is like utakua MKE WA PILI. Nategemea utakuja pm
Em nitafute ....pengine tunaweza kufanya kituHabari zenu.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli ambaye anaweza kuwa mchumba wangu na hatimaye Mungu akijalia kuwa mume.
Karibu PM kwa mawasiliano zaidi na kufahamiana.
Huu ushauri nilimpaga mdogo wangu akaupuuza akaolewa kabla hajapata kazi hivi ninavyoandika hapa ndoa ina mwaka ila dogo kashachoka vipigo na manyanyaso yupo hom.Mdogo wangu kwa umri wa miaka 23 jikite kwanza katika kusaka pesa.Hela ni mungu mdogo ambae hutatua kila aina ya tatizo la binadamu.Una chaguo moja kati ya haya mawili: