Natafuta mchumba

Wewe nahisi unataka Mali basi zitafute zako.Mimi natafuta atakaenipenda tu,asiwe anajichubua na asiwe Ali divorce.Mimi sio shimo la taka.Najiamini na lazima nichague nikitakacho.Sitaki shangingi lililoshindikana.Sitaki mlevi Tena nakupima.
 
Mimi natafuta tu wa kuzaa nae..alafu alale mbereeee
 
Mali zangu hazikuhusu,tafuta zako.
 
Wewe nahisi unataka Mali basi zitafute zako.Mimi natafuta atakaenipenda tu,asiwe anajichubua na asiwe Ali divorce.Mimi sio shimo la taka.Najiamini na lazima nichague nikitakacho.Sitaki shangingi lililoshindikana.Sitaki mlevi Tena nakupima.
Dah nimecheka eti nitafute mali zangu😂sasa unadhani at my age namiliki laptop na smartphone ?😂

Anyway,hizo sifa ni za kawaida sana almost wanawake wengi tunazo,sema watu wanaume wa mitandaoni ni vivuruge.wanawake wanaogopa sana kukutana na mtu mtandaoni, ukikosa humu husisha marafiki zako wa karibu watakuunganisha na mtu hutoamini.

All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…