Natafuta mchumba

Elimu schagui mladi anajielewa sipendi wanyoa kiduku au wafuga afrooo
I am a gentle. SI mtu ya viduku and if you don't mind age anzia 30 apo you never know and why umesema anaeanzia 35 any specific reason?
 
Hahaha huwezi kuwa mfupi ukawa na mashine ndefu itakuwa ni kiema.
Angalia kuanzia miguuu, mikono na viungo vingine.
Size yake haitofautiani na kimo...
Huwezi kuwa mfupi ukawa ba mikono mirefu, vidole virefu nk
Hebu nicheke kwanza una uhakika nahili lakiniπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!!
Nimemaliza kucheka! tuendelee kumshawishi murembo!
 
In this public forum? No way
Pia nmesahau i am a charmer too. L age apo pia inanitoa mchezoni angeanzia 30
Acheni hizo buanaaaa... mbona Mrembo kawawekea hadi namba public jamaneee!!πŸ˜‰
 
Hebu nicheke kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!!
Nimemaliza kucheka! tuendelee kumshawishi murembo!
Ww vp hutafut mchumba.....mm nipo single kwa kigezo cha 35 kanitoa mchezoni
 
Vita ni vita muraaaaaaa[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Ulikuwa unatafuta kazi za ndani. Ulifanikiwa kupata?
 
Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
[emoji1][emoji847][emoji23][emoji3][emoji134][emoji38][emoji16][emoji28][emoji1787]
 
Ww vp hutafut mchumba.....mm nipo single kwa kigezo cha 35 kanitoa mchezoni
Mie napambana nahali yangu dear humu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œkitambo!😁😁😁!!

Au tufanye hivi ukipata wezee wazeee Wengi nipasie mmoja shougaaa nipo paleeeee nasubiriaπŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜!!
 
Acheni hizo buanaaaa... mbona Mrembo kawawekea hadi namba public jamaneee!!πŸ˜‰
Niko serious Ivo....embu niallow pm tuongee you never know.
Mie napambana nahali yangu dear humu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œkitambo!😁😁😁!!

Au tufanye ukipata Wengi nipasie mmoja nipo paleeeee nasubiriaπŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰!!
You are not taking it seriously..... anyway
 
QUIGLEY Nimekuogopaaaaaa!! πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£Kumbe una ya kutoa kizazi kabisa aweeeeeehπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­
 
Hi Nchu ngumu hiii....

M nipo serious ww unanicheka....
 
Hi Nchu ngumu hiii....

M nipo serious ww unanicheka....
Usijareeeee mkuu Iyola mbona tayari ni wakooo mi nasogeza masaa tu hapa focusss kwa murembo kabla hajatingwa sana!πŸ™ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…