Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Huyo kwenye hii picha ni wewe?Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kwenye hii picha ni wewe?Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
I am a gentle. SI mtu ya viduku and if you don't mind age anzia 30 apo you never know and why umesema anaeanzia 35 any specific reason?Elimu schagui mladi anajielewa sipendi wanyoa kiduku au wafuga afrooo
Hebu nicheke kwanza una uhakika nahili lakini🤔🤔🤔🤔🤔🤔 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Hahaha huwezi kuwa mfupi ukawa na mashine ndefu itakuwa ni kiema.
Angalia kuanzia miguuu, mikono na viungo vingine.
Size yake haitofautiani na kimo...
Huwezi kuwa mfupi ukawa ba mikono mirefu, vidole virefu nk
Acheni hizo buanaaaa... mbona Mrembo kawawekea hadi namba public jamaneee!!😉In this public forum? No way
Pia nmesahau i am a charmer too. L age apo pia inanitoa mchezoni angeanzia 30
Ww vp hutafut mchumba.....mm nipo single kwa kigezo cha 35 kanitoa mchezoniHebu nicheke kwanza 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Nimemaliza kucheka! tuendelee kumshawishi murembo!
Ulikuwa unatafuta kazi za ndani. Ulifanikiwa kupata?Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
[emoji1][emoji847][emoji23][emoji3][emoji134][emoji38][emoji16][emoji28][emoji1787]Hapana sipendi warefu Sana napenda wafupi wawe na mwili kiasi afu weusi au maji y kunde awe ananyoa upara sio anaefuga nywele au kucha na mandevu
Hahahaha ila wee mzee eti clear malisa [emoji1787][emoji1787]Hata mimi natafuta mchumba, ila mimi ni Mlokole nasali kwa Prophet Clear Malisa
Mie napambana nahali yangu dear humu 🙌🙌🙌🙌🙌kitambo!😁😁😁!!Ww vp hutafut mchumba.....mm nipo single kwa kigezo cha 35 kanitoa mchezoni
Niko serious Ivo....embu niallow pm tuongee you never know.Acheni hizo buanaaaa... mbona Mrembo kawawekea hadi namba public jamaneee!!😉
You are not taking it seriously..... anywayMie napambana nahali yangu dear humu 🙌🙌🙌🙌🙌kitambo!😁😁😁!!
Au tufanye ukipata Wengi nipasie mmoja nipo paleeeee nasubiria🙇🙇🙇🙇😉😉😉😉!!
Njoo PM mrembo
Hi Nchu ngumu hiii....Mie napambana nahali yangu dear humu 🙌🙌🙌🙌🙌kitambo!😁😁😁!!
Au tufanye hivi ukipata wezee wazeee Wengi nipasie mmoja shougaaa nipo paleeeee nasubiria🙇🙇🙇🙇😉😉😉😉😁!!
Habari yako mammyMi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!
ASANTE
Usijareeeee mkuu Iyola mbona tayari ni wakooo mi nasogeza masaa tu hapa focusss kwa murembo kabla hajatingwa sana!🙃Hi Nchu ngumu hiii....
M nipo serious ww unanicheka....