Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Asa ameweka namba haipatikan....she is not serious unaijua ss ma introvert tunapata shda sana
Ohoooo poleee sana mkuu Kachukue mbunuu kuleee MMU Kuna uzi wa ma introverts if am not mistaken!!
 
Mie napambana nahali yangu dear humu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]kitambo![emoji16][emoji16][emoji16]!!

Au tufanye hivi ukipata wezee wazeee Wengi nipasie mmoja shougaaa nipo paleeeee nasubiria[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji16]!!
Na mzee mzee aliyekataliwa na mleta uzi anafaa?
 
QUIGLEY Nimekuogopaaaaaa!! [emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe una ya kutoa kizazi kabisa aweeeeeeh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Wewe wasema
 
Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Wababa wa kanda ya ziwa mmemfanyeje huyu singomamu?
 
Mi ni single mom mtoto mmoja wa miaka 3, natafuta mchumba awe mkristo umri kuanzia 35+ asiwe muhaya Wala mkurya . Awe anajishughulisha...!!

ASANTE
Tunaotaka kuongeza mke tunaruhusiwa?
 
Back
Top Bottom